Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,334
We sema hivyo alafu uje utoe tangazo hapa unaomba tukuchangie nauli urudi kwenu 🤪Grahams hawa ni warahisi sana 😂tulia uone....
Me iliwahi kunikuta mwaka 47 wakati nipo high school huko Tanga, ilibidi Kijiji kiuze ng'ombe kije kunikomboa.
Otherwise, yule mtu alikuwa analoweka nguo zangu kila siku zisikauke 🤪🏃🏃🏃