mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,936
nilijua jf wengi ni watu wa dar ila kumbe arusha tumejaa hivi...Hahaha mie niko Arusha ndio maana nkasema majiran zang
nilijua jf wengi ni watu wa dar ila kumbe arusha tumejaa hivi...Hahaha mie niko Arusha ndio maana nkasema majiran zang
Usije ukasema chino nakubania connection ya kuona vitu vizuri sumbaiEm nijipitie zangu View attachment 2614430
Nitamtoa kwa hela yakeKwahiyo wewe huwezi mto shemeji out?
Unapita unaenda wapiEm nijipitie zangu View attachment 2614430
As long as ni mwanaume, basi majukumu hayaepukikiKwahiyo hata kama Mwanafunzi anatakiwa Kuprovide?
Yesu na Maria 🙌😅
Very peng.Em nijipitie zangu View attachment 2614430
mshamba_hachekwi somaaa hiyooo😅🏃🏃🏃As long as ni mwanaume, basi majukumu hayaepukiki
Folder lako halija-jaa tu mkuu.Mzee mzeee.
Hiyo picha nimeiprint nimeweka ukutani.
Msosi wangu pendwaaaaaaa na ndizi pembeni.
Sijapenda kabisa hii
Grahams hawa ni warahisi sana 😂tulia uone....As long as ni mwanaume, basi majukumu hayaepukiki
Wali sio mzuri na maharagweMsosi wangu pendwaaaaaaa na ndizi pembeni.
yani hapo ndo penyewe bro.....Msosi wangu pendwaaaaaaa na ndizi pembeni.
dogo ujue unanipanda kichwaniWali sio mzuri na maharagwe
Namuonea huruma saanMe nimeshampa ushauri hapo juu, anasema yeye yupo matawi ya Juu kama Langa 🤪
Ndio ukwelidogo ujue unanipanda kichwani
kwamba ni sumu auNdio ukweli