mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
ni mwendo wa viporo 😂Ewaaaa haya ndo maneno sasa
Mzee wa mabilinganya Johnnie Walker kimbia utazame chakula
ni mwendo wa viporo 😂Ewaaaa haya ndo maneno sasa
Mzee wa mabilinganya Johnnie Walker kimbia utazame chakula
Sahani ya bati, kikombe cha plastick..... halafu unataka kunipeleka kwa hotel?
matajiri tuko humble hatujionyeshi 😂we subiria sapuraiziSahani ya bati, kikombe cha plastick..... halafu unataka kunipeleka kwa hotel?
Totoo wacha masihara
Ndio kasufuria ketu ka ugali...alafu mi sijala. 🙈🙈🙈Sufuria ya ugali ndogo
Hiki kikiwa ni kiporo ndiyo kinanoga zaidi, have got so delicious taste 😋
kabisa kabisa mkuu 😂kinafaa kwa sisi broke boys😂Hiki kikiwa ni kiporo ndiyo kinanoga zaidi, have got so delicious taste 😋
Umeletewa na nani
Mfyuukabisa kabisa mkuu 😂kinafaa kwa sisi broke boys😂
Daktari 😂😂😂😂Umeletewa na nani
Hahahaa wacha niwe mpolematajiri tuko humble hatujionyeshi 😂we subiria sapuraizi
Kwani sijui vinapouzwa 😂😂Umeletewa na nani
Wakati nipo Chuo 2nd Year nilikuwa najipikia ghettoni, kwahiyo kila siku lazima nibakishe kiporo cha kesho yake.kabisa kabisa mkuu 😂kinafaa kwa sisi broke boys😂
Kwani unaumwa? 😂Daktari 😂😂😂😂
Huwezi kujinunulia hivyo weweKwani sijui vinapouzwa 😂😂
Utabuka mdomo usipende kula wanga na protini
unyama sana viporo ndo vinatusave wanachuo 😂Wakati nipo Chuo 2nd Year nilikuwa najipikia ghettoni, kwahiyo kila siku lazima nibakishe kiporo cha kesho yake.
Aliyebuni RB kuna haja tumpatie PhD ya heshima 🙌
😂 hata sielewiKwani unaumwa? 😂
Ahaah uho ni ulafi unakulaje wali umejaa hivyo aseEwaaaa haya ndo maneno sasa
Mzee wa mabilinganya Johnnie Walker kimbia utazame chakula