mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
Ugali na vikachumbari dogo mwanaume unakula ugali na nyama ya nyati

Ugali na vikachumbari dogo mwanaume unakula ugali na nyama ya nyati

Ooh...kumbe ni Slipway, inaonekana iko vyema na huwa inajaza vyumba haraka sio!Yaani mshahara wa mtu ukatumia usiku mmoja tu.
Hapo ni Slipway
Kitimotoa ujue ikoUgali na vikachumbari dogo mwanaume unakula ugali na nyama ya nyati![]()
Njoo ukule bhna😂😂 ugali umekaa kisukuma
We si wa Dar?
Hapendi show offKwanini aogope camera? Ana matatizo gani
Nile ugali kwani baadae nna kazi ya kulimaNjoo ukule bhna
Nitumie hiyo hela nikufanyie booking ukaenjoy ocean viewOoh...kumbe ni Slipway, inaonekana iko vyema na huwa inajaza vyumba haraka sio!
View attachment 2614337
Siku moja moja sio mbaya, Babu yenu kwenda kupunguza stress😩.
Mnajua vile shughuli za shamba zinavyochosha 🤗
Kwahiyo mimi baadae nalima?Nile ugali kwani baadae nna kazi ya kulima
Ngoja nione ratiba ya Mjukuu wangu wa kunivusha barabara hapo Mjini, maana umri huu siwezi kuvuka mwenyewe 🤪Nitumie hiyo hela nikufanyie booking ukaenjoy ocean view
Chumba kitapatikana, nina connection hapo
View attachment 2614338
Itakuwa 😂Kwahiyo mimi baadae nalima?
Hahaa sawaNgoja nione ratiba ya Mjukuu wangu wa kunivusha barabara hapo Mjini, manaa umri huu siwezi kuvuka mwenyewe 🤪
😅🏃🏃🏃🏃Hahaa sawa
Mwambie aweke namba hapa chap
😂😂😂 nipo kwa wakala