Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lenie uje arusha mimi na Depal tukutembeze 😂
Ajeeee tukazurure
C0331702-D611-473A-A596-93A9706FF3CF.jpeg
 
Kumbe uko Chuo saivi? Hongera sana

Ukipata boom la field mwezi Ujao, nunua debe zako mbili au 3 za Mchele wa Kamsamba, unanukia kishenzy. Ukipata na Maharage mapya ya Mbeya itafaa zaidi.

Wakati wenzio wanalalia Chai na Mkate wewe unabaki kuwacheki tu 🤗
Akipata boom kasema atanitoa out, usije kumfanya abadili mawazo tasavali
 
Back
Top Bottom