mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
hii kauli inapotosha, kutenda wema kuna mipaka yake...Tenda wema uende , God will surely reward you .
hii kauli inapotosha, kutenda wema kuna mipaka yake...Tenda wema uende , God will surely reward you .
Niambie Mkuu
Wewe ni baby face bhanaKapachino usimdanganye mwenzio bana. Ilikuwa bibi face!![]()
Marumo GallantsDah
Karoho Kabaya haka....
Usijali mama Ile Azam confederation cup ni yetu.
Weka kumbukumbu hii
Hamtaki kuwapa bure , kumbuka kutoa ni moyo .Tunataka reward kutoka kwa walaji wa hela zetu
Hao ni watu muhimu sana lazima tuwapendeMnawapenda kwa sababu mnawaonea
Ah sahihi lakini msiache kuwapa pesahii kauli inapotosha, kutenda wema kuna mipaka yake...
Hao jinsia KE wanaweza kutoa bure?Hamtaki kuwapa bure , kumbuka kutoa ni moyo .
Safi mkuuu. Na Urudi na pisi moyaaa ya kisauziiiiiNiambie Mkuu
Nilikuwa nawajibika
Kuitafuta shekeli
Maana warembo humu
Bila hela utaitwa kaka au mkuu
Sio vizuri mjueHao ni watu muhimu sana lazima tuwapende
Wapo wanaoweza ndio , kusaidiana muhimu .Hao jinsia KE wanaweza kutoa bure?
Wewe ni bad boy nini ? Mie nina tabia ya upole lazima niwatete nice guys kwa kweli . Wanatufariji imagine breakup inavyouma mtu anakujali na kukupa maneno ya farajaSio vizuri mjue
Kuna moja hiyoSafi mkuuu. Na Urudi na pisi moyaaa ya kisauziiiii
Sio yako hioooo usintanieeee tuma nyingine!!!!!WATOTO WADOGO MMELALA 😬😬😬😁😁😁 HAYA FULL HIYO AUNTIE Antonnia NILIWAHI KUKUAHIDI FULL HIYO HAPO NIMETOA KICHWA LAKINI 😜😜😜View attachment 2610416
Unabisha nn sasa daaaah kwann haukubali auntie 😔🤔Sio yako hioooo usintanieeee tuma nyingine!!!!!
Good morning auntie!!
Hio sio yakooo acha usaniii! Natak nyingine yakwako isiwe na hizo mbwembeUnabisha nn sasa daaaah kwann haukubali auntie 😔🤔
Gud morning to
Eeeh aseee iweje sasa aseee,,, kipi kinakufanya usiamini 🤔 na mbwembwe ni hiyo emoji 1 tu ya kichwani,,, we unataka iweje sasaHio sio yakooo acha usaniii! Natak nyingine yakwako isiwe na hizo mbwembe