sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Kuna vitu vikali saaana hapa.Mtoto mkali Sana mkuu!!
Uzuri tupo wote hapa..tutaselfika soon!😊
I'm just playin bana!
Ila siku nikianza utapeli humu unifumbie macho.![]()






Daaah aseee imebidi nibadilishe mawazo yangu kuhusu hawa vimbaumbau kumbe kuna wengine wapogo sweet asee ni kwamba tu ni mkubwa kwangu angekuwa yankie ningeruka nae 😁😁😁😁😁😁😁😁Mtoto mkali Sana mkuu!!
Nyie ndiyo nimewahama kabisa, hata mtaa niliohamia siwaambii, lindo lilivamiwa nikaanza sakamwa sitaki tena 😂😂😂😂😂Naomba leo uwepo kwenye lindo
Endelea kutupia waroho mpaka tuvimbiwe 😋Eti mmenienjoy 😆😆
Umeniacha yatima mimi kule nichukue basiNyie ndiyo nimewahama kabisa, hata mtaa niliohamia siwaambii, lindo lilivamiwa nikaanza sakamwa siraki tena 😂😂😂😂😂
Silalo nangojea uselfike hapaUzuri tupo wote hapa..tutaselfika soon!😊
Madame kwani kwa huu ushindi wa leo hujawiwa tena kuselfika japo kidogoNawiba wakaka wazuri hawa, naondoka nao wote. Miye Mkurya kuwa nao wawili haina shida. Msipowaona mje mtaa wa 3, mtanikuta nao![]()


The challenge is not to look like a hustler, so.... I'm halfway through the con. 😁
I know right
Wala hufananii Na utapeli![]()
Huu ushindi WA tigopesa.?? SawaMadame kwani kwa huu ushindi wa leo hujawiwa tena kuselfika japo kidogo![]()
Ulipitwa na baby face ya Dr eh?Daaah aseee imebidi nibadilishe mawazo yangu kuhusu hawa vimbaumbau kumbe kuna wengine wapogo sweet asee ni kwamba tu ni mkubwa kwangu angekuwa yankie ningeruka nae 😁😁😁😁😁😁😁😁
ila tu sura ndo sikuona eti Dr Lizzy tubless sura basi 😒😒😒😒😒😒😒 kidogo tu then ufute chap
Ukionyesha mfano itapendeza!Daaah aseee imebidi nibadilishe mawazo yangu kuhusu hawa vimbaumbau kumbe kuna wengine wapogo sweet asee ni kwamba tu ni mkubwa kwangu angekuwa yankie ningeruka nae 😁😁😁😁😁😁😁😁
ila tu sura ndo sikuona eti Dr Lizzy tubless sura basi 😒😒😒😒😒😒😒 kidogo tu then ufute chap
Daaah....hizi mambo inabidi nirudi nyuma tena.Ulipitwa na baby face ya Dr eh?
Ako na lips nzuri Sana aiseee.
Leo nimetumia mda mwingi Sana kumzoom Dr.
She is cute aise
Ulikuwa kichwani mwangu. Naomba leo wewe Jadda uselfike ili furaha yangu ikamilike. Please, leo zamu yako mamiiMadame kwani kwa huu ushindi wa leo hujawiwa tena kuselfika japo kidogo![]()
Huyo dogo Johnnie Walker aache kusumbua wakubwa😅Uzuri tupo wote hapa..tutaselfika soon!😊