Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulikuwa kichwani mwangu. Naomba leo wewe Jadda uselfike ili furaha yangu ikamilike. Please, leo zamu yako mamii
Aahh mimi siwezi kuselfika maana timu yangu ilitoa boko jana hivyo sina furaha, ila kama ikichukua ubingwa wa ligi nitaselfika hilo naahidi, na uje unikumbushe hii ahadi yangu [emoji16][emoji16]
 
Wa mtaa huu muwe na usiku mwema Jadda kagoma kuelfika. Acha niende mtaani kwangu sasa nikalale. Nina raha Yanga kashinda, my Man kavurugwa juu yangu, nitake nini tena? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
Mimi Nimeshakuahidi [emoji4][emoji4]
 
Aahh mimi siwezi kuselfika maana timu yangu ilitoa boko jana hivyo sina furaha, ila kama ikichukua ubingwa wa ligi nitaselfika hilo naahidi, na uje unikumbushe hii ahadi yangu [emoji16][emoji16]
Dah

Karoho Kabaya haka....

Usijali mama Ile Azam confederation cup ni yetu.

Weka kumbukumbu hii
 
20230504_204111.jpg
 
Back
Top Bottom