National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Jivute vute hata VW nakuwa chawa wako.. si eti Dr LizzyUwezo huo sina ngojea nimpe likes tu tena nyingi nyingi kabla nazo hatujaanza kulipia hapa 😄
Jivute vute hata VW nakuwa chawa wako.. si eti Dr LizzyUwezo huo sina ngojea nimpe likes tu tena nyingi nyingi kabla nazo hatujaanza kulipia hapa 😄
Aunt yangu hujamboWeekend 😊😊😂View attachment 2611003
Mie mzima aunty 😊Aunt yangu hujambo
Asante Ankol National Anthem utakuwa mzuri sana. Bado sijausikiliza naupita tu. Tunakupenda pia Ankol 😘😘😘Ona anacheka kama mazuri
Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje asa kusepa natoa wapi jeuri
Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufulii
View attachment 2610981
Weekend mood 😊😊
Shangazi zangu vipenzi niwapendao
Antonnia
Bantu Lady
Nawapenda pia aunt zangu 😘Asante Ankol National Anthem utakuwa mzuri sana. Bado sijausikiliza naupita tu. Tunakupenda pia Ankol 😘😘😘
Niko fresh kabisa nashukuru MunguMie mzima aunty 😊
Waendeleaje na hali yako aunt wangu mzuri
Nafurahi sikia hivyo aunt wangu 😊Niko fresh kabisa nashukuru Mungu
Ngoja badae nitausikiliza mjomba asante sana Naona mambo ya weekend wimbo utakua mtramu sana!!Ona anacheka kama mazuri
Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli
Eti kumwacha naanzaje asa kusepa natoa wapi jeuri
Na kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufulii
View attachment 2610981
Weekend mood 😊😊
Shangazi zangu vipenzi niwapendao
Antonnia
Bantu Lady
Wewe ni mmojawapo Tinsley kati ya hao? 😀Wapo sema ndo ukutane nao sasa
Ila wengi wetu huwa tayari tumeweka bajeti kwa hiyo tunachoonga kiko ndani ya bajeti hivyo akina siye haituumizi lengo likiwa limetimiaMara nyingi lengo huwa siyo mwanamke kufanyia cha maana hela anazohongwa, suala ni mwanaume naye atoe ili aumie kusudi hata akianza kumtukana huyo mwanamke, kwamba oo sijui malaya tu hana jipya basi moyoni lazima aumie, kwamba hakula burebure bali kuna kitu alitoa, na ofcourse wengi mnaumia ndio maana mnalalamika kila siku
Nawatafuta sana 😅😀😀😀Wapo jela huko 😀😀
Jf huwapati hapaHapana sipo kabisa
Inawezekana wapo tu , sema kumpata .Jf huwapati hapa
Ubishi au ukweli, tatizo watu hawataki kuambiwa ukweli, wanataka tukubali tu kila kitusijawahi ona ubishi wa namna yako...