Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna wanawake wajanja anahakikisha kwanza anakupiga vizinga vya kutosha, ili hata siku ukimkula ukasepa nawe lazima ukalalamike huko mbele ya safari kwa kuliwa pesa zako usijione mjanja sana, so ni either umhonge ili umkule ama upite vile
saivi tumekuja na policy mpya 'unataka hela, njoo geto' cash only 😂
 
Si ndio vizuri, hizi policies zenu ndio mnakuwa mmewasaidia kuwapunguzia usumbufu, ukileta swaga kama hizo tu unakula block au blue ticks kitu ambacho wengi wao ndio wanataka
ila mi naona haiwezi tokea eti mahusiano yote duniani yawe stable, lazima vurugu zitakuwepo tu..... hamna namna ya kulimaliza hili tatizo kabisa, mwisho wa siku sisi ni kama wanyama wengine....
 
Wewe kijakazi Half american njoo unyooshe nguo zangu za kesho
 
Attachments

  • EE09C778-6AD9-4906-AA71-68D55FCF4F73.jpeg
    EE09C778-6AD9-4906-AA71-68D55FCF4F73.jpeg
    1.1 MB · Views: 5
Kuna wanawake wajanja anahakikisha kwanza anakupiga vizinga vya kutosha, ili hata siku ukimkula ukasepa nawe lazima ukalalamike huko mbele ya safari kwa kuliwa pesa zako usijione mjanja sana, so ni either umhonge ili umkule ama upite vile
Kuhonga ili kumkula ni kawaida siku hizi. Labda ampate mwenye mahela na asiwe mbahiri. Wanaume siku hizi wabahiri sana unaweza ukashangaa mpaka mmeachana usione chochote ulichofanya kwa hela ambazo umehongwa
 
Back
Top Bottom