Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuumia ataumia hata asipochuna kwahiyo bora achune ili walau muumie wote pia naye aambulie chochote kitu, kuliko kuumia yeye peke yake tena bila kitu halafu mwanaume afaidi tu ndio maana wenyewe wanasema bora kulia ndani ya gari kuliko ndani ya bajaji, maana kwa vyovyote vile mwanamke kulia lazima atalia tu hivyo ni yeye tu kuamua ataliaje na atalilia wapi
Sasa hawa hit and run si wanakuacha bila kitu maana yeye anamkula manzi kwa timing akila mbususu anasepa. Ataambulia vihela tu ambavyo havimfikishi mbali mwanamke
 
Sijui nimtag af nitoke nduki🤣
1682858301695.jpg

😂
 
Back
Top Bottom