Mvi hizo kwiooπ€£π€£π€£Hahahaha...........na mvi zote hizi kichwani ππππ
MMMH SIJAPENDA KWA KWELI πππHuyu kataa ndoa Aunt Tonnia. Anajiweza yeye mwenyewe, sijui ni mkono mmoja.
Hivi kumbe kupiga picha ni muhimu kuweka Pozi, naona Bibi yenu ananiambia niweke dole ya hivi eti ndiyo nitapendezaππ€ͺFanya hivoo Jioni yetu iende vizuri babuuu wajukuu tunasubiria hapaaa ππππ
Hahahaha...................mvi kama za Mzee mwenzangu Edo πMvi hizo kwiooπ€£π€£π€£
Kwani hiko kitambi Mkwe wangu Mjeshi kasema hakitaki?Bantu Lady Aaliyyah cocastic Nuzulati Naombeni tips za kupunguza kitrambiii!βΊοΈ
Nina kitambi msambao kimesambaa hapa chini ya kitovu ππ!!
Kweli changu kitambi mkomao π¬πππHiko kimekomaa
Mm nikifanya diet wiki mbili nakuwa flat ila kujinyima kula ndo nashindwaga ππ
Hakitaki bugudha π€£π€£π€£Kweli changu kitambi mkomao π¬
Nilisema meno yaliyotoka ni ya Mbele tu, ila ya kutafunia Korosho yapo tu Mjukuu
πππIla watu mna manenoKwani hiko kitambi Mkwe wangu Mjeshi kasema hakitaki?
Kwamba kinafunika mchi wakati wa kutwanga karangaπππππ
Mwambie hiyo ni ishara kuwa anakuhudumia vizuri π€ͺ
Karibu San zipo za kutosha sema shida baridi Kali sitaki kula nyingi πππnitakutumia zingineNilisema meno yaliyotoka ni ya Mbele tu, ila ya kutafunia Korosho yapo tu Mjukuu
Looks so delicious π
πππππIla watu mna maneno
Na baridi la huko Mjukuu ni kali sana, Hivi Mkwe wangu bado hajarudi tangu aende kuwapatisha Urusi na Ukraine kwenye ile vita yao?Karibu San zipo za kutosha sema shida baridi Kali sitaki kula nyingi πππnitakutumia zingine
Tena kikijua nakipunja chakula sipati usingizi usiku ππHakitaki bugudha π€£π€£π€£
Anaonekana mwanaHahahaa hakika mkuu 3some MFM
Hajarudi Babu nafanya mawasiliano nijue Bado yupo au nishaachwa ukute vita iliisha akapata mrusi πππNa baridi la huko Mjukuu ni kali sana, Hivi Mkwe wangu bado hajarudi tangu aende kuwapatisha Urusi na Ukraine kwenye ile vita yao?
Fanya Unitumie Mjukuu, Daktari alinishauri kutokana na Umri wangu niwe nakula kila siku kuondoa baridi π
π€£π€£π€£ Mm nimebadili ratiba ya kula nakunywa sana juis fresh usiku hivo nakuwa nakula chakula kidogo sana napiga juis glass 2πSAS sijui napunguza au naongeza nyieπ€£π€£Tena kikijua nakipunja chakula sipati usingizi usiku ππ
Hatimae umechomaView attachment 2606308
Maandalizi ya kuhamia Burundi kama tulivyoshauriwa na Mtunza Kibubu chetu[emoji119]
Hello Monday [emoji1635]
Dogo una vituko[emoji1787]Hahahaha..........thanks for the tips Mjukuu
Ningekuwa Kijana haki ya nani ningepambania kombe kama wanavyosema Vijana.
Bahati mbaya Mvi zangu hazisikii Piko. Yaani nimepaka Piko hadi ile anayopaka Donald Trump lakini imegoma Mkuu [emoji2957][emoji125][emoji125]
Hahahahaa kitu laini mbili ni mwendo wa kubadilishana vitobo vya utamuAnaonekana mwana
Tena anapiga miguu yote
Imetulia