Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yatch ndo nn?? Duuh kweli mie mgeni na Dunia.

Nibaki kwenye kuchezea na kulilia mikunyengee, hayo menginee yanipitee tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujawahi pelekewa moto ukiwa kwenye yatch ww dogo
 
Siku moja moja mumpe Ofa huyu Mwanachuo akainjoi Yatch hapo Town sio kila siku outings zake ni kuzurula hapo Mlimani City tu [emoji12]

cocastic nipigie First Class final year nikupe ofa ya kwenda kuinjoi Yatch ukiweza [emoji847]
Hata hapo mlimani city penyewe niliwahi ingia mara 1, sijawahi enda tena, napaona tyuuh.

Mie nazurura venue za chuo basi. Kuna lect aliwahi kutuchamba wa mkoani, nilishika maneno yakee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza unajua nimenuniwa na sumbai haongei namimi, hata nikimwita sehemu haitiki analike tu. Au Kapachino kamwambia kitu? Niulizie kwa Mmasai wangu, shida nini?
Mara ya mwisho ulitoa tamko mechi ya rivers Nigeria?

hahaha!

Embu fanya kutoa tamko Tena
Si alisema atarejea akisikia tamko lako jingine.

Hivi Antonnia Yupo kweli mbantu au kani block.
 
7b9392cb620a4578b97f7157b7e36a20.jpg
 
Mara ya mwisho ulitoa tamko mechi ya rivers Nigeria?

hahaha!

Embu fanya kutoa tamko Tena
Si alisema atarejea akisikia tamko lako jingine.

Hivi Antonnia Yupo kweli mbantu au kani block.
Nipooo mnyamaaa ..Kwakweli Bantu Lady afanye wepesi ayaweke sawa sumbai arudi tumemmis sana eti!!!!
leoo saa Moja kama kauwaaa kwa mkapa tunaua mtuu!!!
 
Hata hapo mlimani city penyewe niliwahi ingia mara 1, sijawahi enda tena, napaona tyuuh.

Mie nazurura venue za chuo basi. Kuna lect aliwahi kutuchamba wa mkoani, nilishika maneno yakee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo uanze kujifunza kuzurura weekend moja moja, siku ukiambiwa upeleke CV hapo Mikocheni itakulazimu uombe msaada wa Boda boda kuulizia 😜
 
Back
Top Bottom