Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,445
karibu sana,Nami pia inakuwa burudani uwepo wako, nimefurahi mtu chake
karibu sana,Nami pia inakuwa burudani uwepo wako, nimefurahi mtu chake
Kumbe ndo hivi Dear?? Ngoja na mie nitafute pesa kwa nguvu, ili baadae nisisumbuliwee.Acha tu dear , ukiwa na visenti vyako , hata mwanaume hakusumbui , ni raha kwenda mbele ....





tuko pamoja,hahahahaUmemuona wapi mkuu??
Ameselfika?
Au mko pamoja??
Yani naisubiri hapa selfie yake kwa hamu kweli huyu mrembo
Boss umemuiba mke wa [mention]Ntiluseswa [/mention]
Boss [mention]Mjep [/mention] una pepo yako ya kipekee
Tafadhari Boss [mention]Mjep [/mention] usije niibia demu wangu ndyo ninaye huyo huyo tu![]()




huyo cazee atakuaje mume wangu sasa? Aliye sema nilimficha ndo mume wangu.Utaua watu nakwambia wewe mtuhuyo cazee atakuaje mume wangu sasa? Aliye sema nilimficha ndo mume wangu.
Niko hapa mtu chake niambie 🤗🤗🤗
Niko poa sana dear !! Naona ni leo kwa mkapa tunaua mtuu!!💃Asante kwa kuuliza luv 😘 leo nimeamka una afadhali kubwa, tofauti na siku zilizopita. Waendeleaje pia?
Mm nilikuwa sijaselfika napita nowNetwork imenizinguaa Nimepitwaaajee na maselfiee yenyuuu Bantu Lady Aaliyyah cocastic Naomba mrudiee jamanii
nikikuambia hapa ,watasikiaNiko hapa mtu chake niambie 🤗🤗🤗
Kumbe watu wameselfika na imenipita hapahapa? Leo kwa Mkapa hatoki Mnigeria 😀😀😀😀😀Niko poa sana dear !! Naona ni leo kwa mkapa tunaua mtuu!!💃
Akhsssaanteee😍😍😍😍!! Mtrotro lipsssss 😘😘😘! Leo jichooo umelificha jamaniii asante sana kuubariki mchana wangu unaenda kuwa fureeeeeeeeesssshhh kabisaaa!!
Mtoto mlito 😍😍😍😍 mtoto lips denda 💞
Una lips nzur na mafta mafta kama yoteee yaani🤣🤣🤣 ww unafaa kwa matumiz bado namba E kbsa 🤣🤣🤣🤣
Tuongee kwa code hawatasikia 😄😄😄😄😄 mtu chakenikikuambia hapa ,watasikia
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa... hatroki mtuuu walaii!!Kumbe watu wameselfika na imenipita hapahapa? Leo kwa Mkapa hatoki Mnigeria 😀😀😀😀😀
Mashallah