Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utaua watu nakwambia wewe mtu
Siku hizi natukanwa kweli kwenye majukwaa huko sababu yako naitwa majina magumu kweli
Ila acha wateseke shauri yao
sasa mume wangu kutukanwaa hapa JF ni ajabu?? Sisi tumependanaa wenyewee, wao wanateseka wakiwa wapiii??

Hebu wapotezeee watu wana stress na makasiriko huko makwao, wanaamua kuja kupumzikia kwetu, wala sisi hizi sio shida zetuu.

Nakupenda sanaa mume wangu, laaziz, mahabhubha, nyonga mkalia ini, baba tamu.
 
Yatching'...
20230108_180014.jpg
 
Back
Top Bottom