Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Humu ndani unaweza jikuta mnaishi mtaa mmoja na mtu . Kwa mfano mie ni majirani wawili humu , tunaishi karibu sana . Huku kwema babu , shikamoo habari yako ?Huwa inakuwa kuwaje mpaka mtu unaitwa jirani wa mtu humu?
Kwema mjukuu?


