Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Safi kabisa jirani!Nambie jirani , za huko ?
Nipo kibanda umiza hapa namwangalia mnyama.
Safi kabisa jirani!Nambie jirani , za huko ?
Sijiii 🤧Half american njoo 😂😂
Nikopoa sanaNipo mkuu!
Unaendeleaje!
Nilipata soma mahala leo unafuraha Sana.( Ushapita naked tiyari?
Hope mambo yameiva.
Poa mzimaMambo dear
Safi sana Jirani .Safi kabisa jirani!
Nipo kibanda umiza hapa namwangalia mnyama.
Sasa mpwa Ndo mbuzi akafie Kwa muuza supu au sio 😂😂😂
Huwa inakuwa kuwaje mpaka mtu unaitwa jirani wa mtu humu?Safi sana Jirani .
Bora maana nilikuwa nshaanza kununa!😄Unanisingizia kwa kweli sikusema hivyo 🤔.
Out inabidi uwepo.
Sasa mpwa Ndo mbuzi akafie Kwa muuza supu au sio 😂😂😂
😀😀😀Kwaiyo nijiongeze tu mpwa ngoja niandae na sufuria kabisa na sahani nihamieHamia kwa dokta tuone kama atakufukuza mpwa. Mambo mengine kujiongeza tu 😁😁😁
Au hautak ndiz mshale
Niogope nn wakat shangaz kashanizalia mama yeyoCazee mie ni ndugu yakoo bhanaa, wee huogopi Incest?
Hamia kwetu mpwa...😀😀😀Kwaiyo nijiongeze tu mpwa ngoja niandae na sufuria kabisa na sahani nihamie
Kwenu ndo kizuri nyie watu na nusu mna upendo mnoHamia kwetu mpwa...
We love you ❤️❤️❤️
(Dr. Akija hapa sipati picha 😁)
Bas sawaa dear.Rahisi dear , ni kujiweka busy tu na kufanya yako .
Wachaaa wee cuzoo.Niogope nn wakat shangaz kashanizalia mama yeyo




Ok, lets hire a sitter, me too, will be busy taking some glasses of 🍷 🍻.Bora maana nilikuwa nshaanza kununa!😄
I'm down as long as I won't be babysitting! Ntakua busy na 📖 & 🎧 😎