Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,201
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt mie sikuweziii kwa kweliii.
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt mie sikuweziii kwa kweliii.
Haswaaah[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee deep pond...ndani ya sneakers miguu mieupe na roho nyeupe..,.
Nmekumiss binamu,uko POA?[emoji4]Tupoo binamuuu.
Raba hiyoo, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Pamoja sn brother[emoji4][emoji1431]Mzee deep pond...ndani ya sneakers miguu mieupe na roho nyeupe..,.
Barikiwa brother [emoji851]
Binamu niko poaa, mic u mnoo.[emoji8][emoji8]Nmekumiss binamu,uko POA?[emoji4]
oh kumbe sweet red au white wine unapendelea ipi.Napenda sn wine Moja inaitwa Serengeti
Changamoto yake Ina alcohol ndogo sana,
Hivyo huwa naimix na k-vant au smart gin ili kupata vibe flan hv amaizing sana[emoji4]
Sweet red Ni iyo Serengeti na dompooh kumbe sweet red au white wine unapendelea ipi.
Kajinunisha nmempunguzia mawasiliano,Binamu niko poaa, mic u mnoo.[emoji8][emoji8]
Vipi mama J hajaleta tukio, nimemic kusoma visa vyake na hajawahi niangushaaa.
Alitisha zaidi kufika hadi Dukani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha...lekum msalamu Toto tundu[emoji4]Lol nivokoment tyuu nikatrokaa online ..
Samalekooo Baba J!
Raba hiyoo, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi passport ushatupiaa kwani?? Au Bantu Lady bado hajaweka gushepu??Ha ha ha...lekum msalamu Toto tundu[emoji4]
Tangu skuile sjamuona[emoji4]Hivi passport ushatupiaa kwani?? Au Bantu Lady bado hajaweka gushepu??
Atakua ametingwa tu hanaga uswahiliiii Mbantu just be patient atakuja!Tangu skuile sjamuona[emoji4]
Namsubir, nawe tupia bas kdg[emoji4]Atakua ametingwa tu hanaga uswahiliiii Mbantu just be patient atakuja!
Mdudu mtamu sanaa mzee pembeni ka coke na grand maltaNmemiss mdudu balaa[emoji4]