Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa aunt wee ukimuona baba tamu wako huko kunako hakutepetiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie nikisikia sauti tyuuh, kuna kitu kwa ndani huku kunako kinastuka "tchuu tchuu tchuu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya ya Wine niko nje ya mfumo kwa kweli.
😂😂😂Wanatia huruma mahangaiko ni mengi na genye nazo tuanze kuzihangaikia 😂😂😂
Mm aunt maji tu yananitosha sana 😂
 
watu wanapenda
D3DC688E-991B-461A-9E6D-9E5D7CE65B6E.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanatia huruma mahangaiko ni mengi na genye nazo tuanze kuzihangaikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm aunt maji tu yananitosha sana [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt mie sikuweziii kwa kweliii.
 
Back
Top Bottom