DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,416
Wacha kabisaHadi kujilamba vidole,, Kweli kilikua kitamu!!

Wacha kabisaHadi kujilamba vidole,, Kweli kilikua kitamu!!

Yanini kujivunga?Ni ww unalamba vidole?

Kwaiyo mimi ni mbea 🤣🤣🤣😊😊Umbea nao ni mbaya sana kwa mwanaume haswa ukiwa huna kazi
Au unamtaka huyo deep?Kwaiyo mimi ni mbea 🤣🤣🤣😊😊
Akia Mungu duuh,, sikia dada
MACHO HAYANA PAZIA
SIWEZI KUYAZIBA ETI NISIONE COMMENT ZA WATU HUMU MKUU
MWENYE AKILI HAAMBIWI FIKIRI
NISHINDWE KUELEWA ANACHOANDIKA MTU HUMU
SSIO UMBEA MKUUU VITU VINGINE UNAONA WAZIWAZI 😁😁😁😁🌯
We kamfungukie,,,,,, tu sio mbaya usifiche hisia zako utakufa na sonona mkuuu 😉😉😉 au nikusaidie kumwambia maana nyie wanawake mna aibu kwelikweli 😁Au unamtaka huyo deep?
😀😀Sasa lile Cha mtoto nitakutolea kitu Cha basmat kimenyooka km rula 😍na kuku Mkubwa na juis ya kunoga aisee uje tuLol can't wait...kuna lile pilau ukipostigi humu na minyama ya kyukyuu na chachandu pembeni alooo😋😋😋😋😋! Mpaka waleo halitoki kichwani!
😂😂😂Kujilamba huko kwema kaka😂😂😂
Kwema kabisa,mamaG kasababisha kitu Cha asiliKujilamba huko kwema kaka
![]()

HongeraKwema kabisa,mamaG kasababisha kitu Cha asili![]()
Mie hapo niwekee samaki au ndondoo madam nyama nyekundu siliiii😉😉😉!!
Ooh Polesana wew kuku tu ndo atakufaaMie hapo niwekee samaki au ndondoo madam nyama nyekundu siliiii😉😉😉!!
Enjoy your meal dear!!
Naomba unipitie twende sote madam boss ladyLol can't wait...kuna lile pilau ukipostigi humu na minyama ya kyukyuu na chachandu pembeni alooo😋😋😋😋😋! Mpaka waleo halitoki kichwani!
UpitiweNaomba unipitie twende sote madam boss lady

Nyimbo ya nan Hii mshana
