Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,845
Hapo mdudu anateleza kwa koo kiutamu utamu aiseeMdudu mtamu sanaa mzee pembeni ka coke na grand malta
Hapo mdudu anateleza kwa koo kiutamu utamu aiseeMdudu mtamu sanaa mzee pembeni ka coke na grand malta
Hapa nashushia kahawaa kamoja kanaitwa Irish coffee 🤭🤭 badae huyo na nyonga mkalia ini To yeyeHapo mdudu anateleza kwa koo kiutamu utamu aisee
Itabd watupe mwaliko tukajing'ate mkuu

Mdudu anapendeza na kitu kikali,Mdudu mtamu sanaa mzee pembeni ka coke na grand malta

Nina jipya basii sina hata..Afu nina muda kidogo sijapiga picha eti!!Namsubir, nawe tupia bas kdg![]()
Shukrani
dompo ina asilimia 16 , hiyo ukinywa hulewi ?Napenda sn wine Moja inaitwa Serengeti
Changamoto yake Ina alcohol ndogo sana,
Hivyo huwa naimix na k-vant au smart gin ili kupata vibe flan hv amaizing sana![]()
Dompo kavu Silewi kabsadompo ina asilimia 16 , hiyo ukinywa hulewi ?

Leo picha hata mguu TU nikuoneNina jipya basii sina hata..Afu nina muda kidogo sijapiga picha eti!!

Zimefika bossMsalimie huyo wa shati la drafti.
Usijareee kabisa brod akeee wewe treinaaahhhh...turia hapohapoooo.. ( Kwa sauti ya Bantu LadyLeo picha hata mguu TU nikuone![]()
NakuaminiaUsijareee kabisa brod akeee wewe treinaaahhhh...turia hapohapoooo.. ( Kwa sauti ya Bantu Lady

Jihadhari sn na kitambi,Shukrani
Wadada tunaopenda kula![]()

😀😀Kwakweli ngoja tupunguze kidogoJihadhari sn na kitambi,
Kinatabia ya kuificha nyam nyam![]()
😀Muulize kwanza vizuri anatak chakula kweli 🚶Mzee wa kupambania kasema siku Moja utupikie![]()
Imetulia Sana,nmefurah mno

dompo kali sana , bora hizi napenda robertson na lion's hill .Dompo kavu Silewi kabsa
labda ziwe kuanzia 2 na kuendelea
mamaJ ndo akinywa nusu TU
Tayr ataanza kuongea kijerumani na kuskia joto![]()