vodacom wanadukuwa hadi tarehe za kuzaliwa nilishawaletea shida sanaView attachment 2600036
Nilikuwa nimeshafika shambani alafu ndiyo napokea ujumbe kuhusu Sikukuu hii, wacha nipite pite kwa majirani huenda nikabahatika Biriani/Pilau 🤗🙌
Najua wengi wenu hapa bila usaidizi wa Google mnaweza msikumbuke Mwaka ambapo tukio hili la kihistoria limetokea 🤪
Happy MUUNGANO DAY to everyone here 🥂
Mimi nimehamia HungamalwaHuko Bariadi
Hamkai wote
Vibanda umiza![]()
duuh umesha suka
Sio kwamba wanadukua, ni kuwa sasahivi taarifa nyingi wamezi link na NIDA hivyo inakuwa rahisi kujua tarehe uliyozaliwa kama ilivyojazwa kule NIDA.vodacom wanadukuwa hadi tarehe za kuzaliwa nilishawaletea shida sana
Beautiful Dr Lizzy 😍😍
Yeah 🙂duuh umesha suka
hiyo ni ishara mbaya sana taarifa zangu si sawa kuzitumia wanavyojisikia niliwambia iwe mwanzo na mwisho huo ujinga usijirudie kisha nikakata simuSio kwamba wanadukua, ni kuwa sasahivi taarifa nyingi wamezi link na NIDA hivyo inakuwa rahisi kujua tarehe uliyozaliwa kama ilivyojazwa kule NIDA.
Mimi hunisaidia kunikumbusha siku yangu ya kuzaliwa, manake wazee wengi wa umri wangu huwa tuna tatizo la kupoteza kumbukumbu 🤪🏃🏃🏃
☺️☺️Beautiful Dr Lizzy 😍😍
Naendelea na development ya software yangu ya kuondoa hilo ua
Soon nitafanikiwa tuu
Hahaha.........Pole sana Mkuuhiyo ni ishara mbaya sana taarifa zangu si sawa kuzitumia wanavyojisikia niliwambia iwe mwanzo na mwisho huo ujinga usijirudie nikakata simu
Huyo ndo kabisaaaa☺️☺️
Nikajua ulishaachana nayo kumbe bado uko kazini? 😁😁
Jaribu kuongea na National Anthem akusaidie kumalizia. 🤓
Habari Mkuu
nafikiri hunielewi mimi shida yangu si kunganishwa kwa tarifa shida ni matumizi ya taarifa,kama ni hivyo wanijulishe na Bday ya wazazi wangu si wameamua kuchota tarifa zangu na kuzitumia.japo na fahamu kujua mwaka tarehe na mwezi wa kuzaliwa mtu ni rahisi sana kujua kupitia kuiyona nida namba yake lakini bado si tiketi ya kutumia tarifa hizo kwa namna yoyote bila ridha yakeHahaha.........Pole sana Mkuu
Hizo taarifa za NIDA kwasasa zina link na taarifa za Benki, Uhamiaji, mitandao ya Simu n.k
Kwa kiasi fulani zimesaidia kuondoa tatizo la duplication
Nilikuelewa Mkuu, ingawa hilo tatizo lipo kwenye mitandao karibu yote ya simu.nafikiri hunielewi mimi shida yangu si kunganishwa kwa tarifa shida ni matumizi ya taarifa,kama ni hivyo wanijulishe na Bday ya wazazi wangu si wameamua kuchota tarifa zangu na kuzitumia
Habari Mkuu
asante sana ,tambi huwa napenda sanaKwema mrembo, umemiss breakfast yangu tayari..
asante sana ,tambi huwa napenda sana