Nimepita hapo jana na Kelsea tumeelekea Sumbawanga tukirudi tutakupitiaYaani wewe
Siku ukanyage
Tunduma patachimbika
Nimepita hapo jana na Kelsea tumeelekea Sumbawanga tukirudi tutakupitiaYaani wewe
Siku ukanyage
Tunduma patachimbika
Aiyaah Sumbawanga kabisaNimepita hapo jana na Kelsea tumeelekea Sumbawanga tukirudi tutakupitia

Mkuu kwemaAunt yangu,namsubiri boss lady anipitie
Huyu Wigelekelo achana naye wivu unammaliza
Utanifundisha kupikaa na mie shangaziii,Sasa lile Cha mtoto nitakutolea kitu Cha basmat kimenyooka km rula
na kuku Mkubwa na juis ya kunoga aisee uje tu



Tumekumiss pia shangazi karibuSelfikazzz famzzz
Nimewa mic mnoo
Tatizo now niko buzzy jukwaa la sports hadi ijumaa ipite ndo ntajua narudi hapa au naendelea kubaki kule.
![]()
Napika ndugu au nachemsha chemsha tu😀😀Utanifundisha kupikaa na mie shangaziii,![]()
Wee ukuje jukwaa la sports kumenogaa balaaTumekumiss pia shangazi karibu




Usiniambie Kuna mambo ya wydad nn😂Wee ukuje jukwaa la sports kumenogaa balaa
![]()
Ndo mambo ya Wydad yamepamba motooo.Usiniambie Kuna mambo ya wydad nn![]()
Safiii jirani...
Umeamkaje mdogo wangu?
Shikamoo , umeamkaje huko ??Niamkie bhana
Uliemkwot
Yupo swanga
Analelewa
Shikamoo kaka ,Mungu mwema nipo powa vipi wewe ?Umeamkaje mdogo wangu?
Marahaba sisterShikamoo kaka ,Mungu mwema nipo powa vipi wewe ?
Ah huku poa tu, wifi zetu wasalimie .Marahaba sister
Mi nimeamka salama kabiaa
Hofu kwako
Salamu zimefikaAh huku poa tu, wifi zetu wasalimie .