DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,416
Dah!

Dah!

Barely 😁Mm ni noma Sana 😂😂😂nimekuacha mbali mno😂😂
Kidogo umejitahid lakini Badoo😀😀Barely 😁
Embu angalia vizuri hii portion ya leo View attachment 2599756
KaribuDah!![]()
Kwani ungenambia tukawa wawili. Kingeharibika nini?Huwez amini kipenz sikufanya chochote nimeshinda ndani nimelala nimepika chakula Cha kawaida nilikuwa mwenyew sikuwa na mood kabisa
Wew nambie unakuja lini nikufanyie maajabutulipie Idd
😀😀😀Karibu hata Leo nipo mwenyew😂😂😂Kwani ungenambia tukawa wawili. Kingeharibika nini?
Nipe coordinate, nikaribie kesho. Si unajua ni sikukuu ya kuungana.Karibu hata Leo nipo mwenyew
![]()
Looks yummy 😍😍😍😍😍😍
Tawile
Limeisha ilo 😀Nipe coordinate, nikaribie kesho. Si unajua ni sikukuu ya kuungana.
Sipatagi hiziKaribu hata Leo nipo mwenyew
![]()
😀Shangazi nilijua umelalaTawile
Sana ila sijui Kwann nikipika kula Huwa sienjoy hapo Kuna katoto nikaenda kukaita tule wote Ndo niliridhika Yan nikipika lazima mtu ale Ndo nafurahi ungekuwepo ningekupa sufuria kabisa😂😂Looks yummy 😍😍😍😍😍😍
Hapa mbona ningeongeza kabisa!!!
Aunt yangu,namsubiri boss lady anipitieMjep aunt unaendeleaje
Umemisika uje na@Antonnia basi 😀ila usimwambie wige
Sawa sawaAunt yangu,namsubiri boss lady anipitie
Huyu Wigelekelo achana naye wivu unammaliza
Kiukweli kujipikia & kula mwenyewe kuna namna huwa hainogi kabisa. Ndio maana mie nikiwa mwenyewe mara nyingi sipiki 🥴Sana ila sijui Kwann nikipika Huwa sienjoy hapo Kuna katoto nikaenda kukaita tule wote Ndo niliridhika Yan nikipika lazima mtu ale Ndo nafurahi ungekuwepo ningekupa sufuria kabisa😂😂
Kweli kabisa nilijua ni mm tu Yani hata hainogi basi tu kunakuwa hamna namnaKiukweli kujipikia & kula mwenyewe kuna namna huwa hainogi kabisa. Ndio maana mie nikiwa mwenyewe mara nyingi sipiki 🥴
Yaani weweAunt yangu,namsubiri boss lady anipitie
Huyu Wigelekelo achana naye wivu unammaliza