Na wewe ulete bossBantu Lady mbona huleti mambo
Na wewe ulete bossBantu Lady mbona huleti mambo
Dogo mwenye heka heka zako nakuona umeingizana![]()





afu nazimudu sasa.Yani leo hawa Yaga walivyonipa mstuko picha itakua mbaya sanaaaNa wewe ulete boss
Haya selfikaaa hapaaa tukuoneeee.Amkeniiii Yanga kapindua meza huko, tumenyamazisha nchi yaani Away na ushindi
Nina furaha leo, Yanga wamejua kunipa raha, nitaselfika soon![]()
Ilete hivyo hivyo tushuhudieYani leo hawa Yaga walivyonipa mstuko picha itakua mbaya sanaaa
Shogaa mbona hivyo? Basi turudi kule sport 😄 😄 😄Naomba sana, naomba Dua
Nobody
Nobody love me the way that you do
Nobody
Nobody can love you better than I do
Watasema sana, wataongea, wazidi umbea...
Nobody
I know ur the One for my heart and Soul...
YOUNG AFRICAN 💛💚
Hii ndo pichaa enyewee BL? hebu weka pichaa.Naomba sana, naomba Dua
Nobody
Nobody love me the way that you do
Nobody
Nobody can love you better than I do
Watasema sana, wataongea, wazidi umbea...
Nobody
I know ur the One for my heart and Soul...
YOUNG AFRICAN![]()
Liva mmeshinda leo?Tumeanza kushinda
Mtuache na liver yetu
Umepewa liftTumeanza kushinda
Mtuache na liver yetu
Waooooh lovely lady..nice qute...View attachment 2597272 For my team Young African 💛💚
Nina rahaaaaaaaaaaaaaaaa
Mtani wangu mrembo Kalpana asante 😘😘😘😘 wapenda mpira ni....😜😜😜😜Waooooh lovely lady..nice qute...
Kumbe wapenda mpira ni makyuti eee
Sisi tumeshinda jana na tunaendeleza ushindi tu nafasi ya nne ni yetu Manyu wanatupisha pale juuLiva mmeshinda leo?
Mbantu kweli kweliView attachment 2597272 For my team Young African 💛💚
Nina rahaaaaaaaaaaaaaaaa
Wacha nivimbe mzee wa Tunduma Lift ina raha yake hasa ukipewa na mtoto wa kikeUmepewa lift
Umekuja kuvimba humu
Mm na liva damu damuSisi tumeshinda jana na tunaendeleza ushindi tu nafasi ya nne ni yetu Manyu wanatupisha pale juu
Mwambie waiter akupe caton 2 kwa bill yanguMm na liva damu damu
Asante kaka wa kunyumba kabisa Big Boss MjepMbantu kweli kweli
Toto la kikurya😍😍
Nakubariki