😂😂😂Acha kudanganya watu, jana si tulikua wote nanii na yule mtoto wa kiarabu.Bado bado labda kesho , ameenda saloon ndio nimepata upenyoo hata wa kushika simu
Wigee akili zake anazijua mwenyewe sis Samalekooo!!!!Nipo maternity leave 🤣🤣🤣
Milele Amina ccy.Wigee akili zake anazijua mwenyewe sis Samalekooo!!!!
ayaaaa, mdogo wanguuu usinge semaaa… tutachana mkekaa mapemaaa tuuu 😂😂😂😂😂😂Acha kudanganya watu, jana si tulikua wote nanii na yule mtoto wa kiarabu.
Nakula iddWee Wigelekelo Naomba uibles Jioni yangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Utanikuta getini naisubili iwe kubwa kama ya siku ileayaaaa, mdogo wanguuu usinge semaaa… tutachana mkekaa mapemaaa tuuu 😂😂😂
Yabaki siri yetu tu, badae nitakuletea zawadi
Usijaleee kabisaaa, ila siri itunzeeeUtanikuta getini naisubili iwe kubwa kama ya siku ile
Mim tena hata usijali kaka anguUsijaleee kabisaaa, ila siri itunzeee
Nataka kumuona mpiga picha mieee Wigeee do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nakula iddView attachment 2597183
Ndio maana nakupenda mdogo wanguuu 🤗🤗Mim tena hata usijali kaka angu
ArurururuuuuuuhNdio maana nakupenda mdogo wanguuu 🤗🤗
Arurururuuuuuuh
Jamani nimekuja kama upepooAmkeniiii Yanga kapindua meza huko, tumenyamazisha nchi yaani Away na ushindi 💛💚💛💚💛💚💛💚
Nina furaha leo, Yanga wamejua kunipa raha, nitaselfika soon 💛
Let me see youuuAmkeniiii Yanga kapindua meza huko, tumenyamazisha nchi yaani Away na ushindi 💛💚💛💚💛💚💛💚
Nina furaha leo, Yanga wamejua kunipa raha, nitaselfika soon 💛
Muache asome...Nimemkumbuka tu![]()