Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
ChaiHilo jicho,
Hizo lips, ni hatariii.
We mdada mzuri jamani.
ChaiHilo jicho,
Hizo lips, ni hatariii.
We mdada mzuri jamani.
Kumbe basi mm nitakuwa mweka hazina 😄 😄Nakutonya tu
Liverpool fans
Wengi ni matapeli
Tubariki kidogo boss lady usituache hivi hivi tafadhali
Sina jipyaaa mr vouchaaa!! Sema ngoja nikuchekiee kwa gallery hapaaa weweee treinaaahhhh sema kingineee😁😛🤭!!Tubariki kidogo boss lady usituache hivi hivi tafadhali
Nasubiri boss lady maana nusu nimwage chozi hapaSina jipyaaa mr vouchaaa!! Sema ngoja nikuchekiee kwa gallery hapaaa weweee treinaaahhhh sema kingineee😁😛🤭!!
Asante ulale unono pia mtoto wa Kagame 😘😘😘😘 mtoto mzuri, mwenye namba 1,2,3 zako town. Kapachino atapitwa ukitubless dah!!!
Turiaaa ivoooivooio mr vouchaaa Usipepese hata kopeeee napita kama upepoooooo!!😁!!Nasubiri boss lady maana nusu nimwage chozi hapa
😍😍😍😍😍🙏🙏🙏
Usijareee kabesaaa ✌️✌️!😍😍😍😍😍🙏🙏🙏
Boss lady wabheja sana
Pa1 sana Bantu Lady
Fanya kama unatubless kwanzaa au hujamaliza kulike😁???Pa1 sana Bantu Lady
Kweli ile hajaimalizaaa watu wamemsusiajeee😂😂!! Hata akiweka muendelezo watu kimyaaa au wanasoma kimya kimya 😊Nakwambia bado natiririka kule ika ushanikata stimu,ngoja niibuke chimbo lingine😂