Asiye kupenda akanywe sumu apotelee mbali kabisa wakwetuAsante kaka wa kunyumba kabisa Big Boss Mjep
Asiye kupenda akanywe sumu apotelee mbali kabisa wakwetuAsante kaka wa kunyumba kabisa Big Boss Mjep
Kama hamna kichuri hapo usimkaribishe mdogo wanguNakubarikiView attachment 2597283
Wana joto
Nani huyo aseeWacha nivimbe mzee wa Tunduma Lift ina raha yake hasa ukipewa na mtoto wa kike

Tamaa zitakuuaWana joto
Kunako
Kaa kwa kutuliaKama hamna kichuri hapo usimkaribishe mdogo wangu
Bhas unakula
Daaaah 😂😂😂😂😬😬😬View attachment 2597272 For my team Young African 💛💚
Nina rahaaaaaaaaaaaaaaaa
Waatruuuuu Weeeuuuuwweeehh 💃💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸!!!!View attachment 2597272 For my team Young African 💛💚
Nina rahaaaaaaaaaaaaaaaa
CuteView attachment 2597272 For my team Young African 💛💚
Nina rahaaaaaaaaaaaaaaaa
Yanga Oyeeeeeeee leo mji uko kimyaaaaaa. Mayele kajua kuwanyamazisha upande wa pili. Walijua kaisha, akasema ngoja niwaonyeshe kazi peke yangu Tayukwa unaitwa huku na mtoto mzuri Tonnia 😘😘😘 asante mrembo wangu, tusheherekee Yanga na Mayele 💛💚Waatruuuuu Weeeuuuuwweeehh 💃💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸!!!!
mtrotro Mkareeeeeee kinoumaaaaaaaa 😘😘😍😍
Waaaapiii @Tayukwaaaaaa unapitwaaa na mambo mazureeeee hukuuuuuu!!
Wananchiiii houyyeeeeeeeehhh💃💃🤸
Kabesaaa amejua kuwanyamanzishaaaa!! Walikua wanatamaniijee tufungweee imekurraaaa kwaoooooo kwa sauti ya kanda maalum 😁!!!Yanga Oyeeeeeeee leo mji uko kimyaaaaaa. Mayele kajua kuwanyamazisha upande wa pili. Walijua kaisha, akasema ngoja niwaonyeshe kazi peke yangu Tayukwa unaitwa huku na mtoto mzuri Tonnia 😘😘😘 asante mrembo wangu, tusheherekee Yanga na Mayele 💛💚
Asante Wigee wangu 😜😜😜 nitapewa langu sitaamini, na furaha yangu 😆😆😆😆😆 WigelekeloNakubarikiView attachment 2597283
Kabisaa nitajongea kwny uziMwambie waiter akupe caton 2 kwa bill yangu
Saint Anne njoo umsajiri shabiki mpya huku na umwambie awe anapita kwenye ule uzi wetu anaweka japo like
Nakutonya tuKabisaa nitajongea kwny uzi
Hilo jicho,



