Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama computer yako ina usb ports chache fanya juu chini upate hii accessory
JPEG_20230418_144524_8591454296355728133.jpg
 
SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
INSTAGRAM @dollrubii_decors
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARINUNI SANA. FREE DELIVERY DAR

IMG_20230417_173747_954.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapoo tupaache, jaman hadi lunch eti nijilipiee mwenyewe. Akaaaah nlishindwaa bora nikimbizane na wamatumbi wenzangu, tunawezana wenyewee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ulishindwaje nawe hata kutengeneza proposal ule madollari 😀
 
Hukuona intavoo ya Mobetto?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliulizwa je Rick Ross alikupa dollar ngapi, eti anasema hakupewa mara tulikutana kirafiki wala sio wapenzi, yaan anaongeaa huku km anajistukia,

Nkajisemea watu wa ulayaa mchezooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi date na jamaa mzungu, sitaki hata kuwasikiaaa, ukiombaa pesa utasikia lete projects plans, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbwaa yule sitamsahau kamweee,
Kwa hiyo ukajua tu huyu kashajichanganya daadeki 😅
 
Back
Top Bottom