Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,394
- 9,173
Niliwahigi kuweka picha yangu hapa kablaya hujajiunga 😂 ila nilifutaSura yangu nikiiweka hapa mtaota usiku[emoji23]
Niliwahigi kuweka picha yangu hapa kablaya hujajiunga 😂 ila nilifutaSura yangu nikiiweka hapa mtaota usiku[emoji23]
Kwanini sasaNiliwahigi kuweka picha yangu hapa kablaya hujajiunga [emoji23] ila nilifuta
Pm za warembo zilijaaaKwanini sasa
Ewaaa[emoji23]Pm za warembo zilijaaa
Tuna sura personal 😂😂Johnnie Walker Binadamu Mtakatifu njooni mselfike huku mpate wachumba[emoji23]
Babu umekuja mjini bila taarifaWanawake wenyewe inasemekana hawaridhiki kirahisi nowadays
Kwahiyo vijana wameamua kutumia shortcut ili kujaribu kuwafikisha na kulazimika kwenda Uvinza ya Kigoma 🙈🏃🏃
Sisi hadi tumefikia Umri huu wa Uzee hatujawahi kufika Uvinza hivyo kuishia kuisoma tu kwenye ramani 🤪
Salimia hiyo pisi pembeni ambapo juu yake kuna TV....View attachment 2591310
Maombi yenu linakufa jitu leo hapa
Salimia hiyo pisi pembeni ambapo juu yake kuna TV....
Mpe account yangu ya jeiefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana....Alikoma sana.Mwamba mwingine huyu hapa. Hata Hakimi wenu akasome [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2591011
View attachment 2591012
Love is blind[emoji23]Tuna sura personal [emoji23][emoji23]
Ivi ushamuona Binadamu Mtakatifu wewe huyu jamaa ananyamazisha watoto wanao lia kule hospital😂Love is blind[emoji23]
Nilipiga simu yako ikawa haipatikani, nikahisi itakuwa ilitumbukia kwenye Maji Kidimbwi Beach ⛱️ 😆Babu umekuja mjini bila taarifa
UliikoseaNilipiga simu yako ikawa haipatikani, nikahisi itakuwa ilitumbukia kwenye Maji Kidimbwi Beach ⛱️ 😆
Mwezi ujao nitakuja tena Mkuu, bado nafatilia pension yangu huko 🤗
Sijui niweke yangu tu.....[emoji23]Ivi ushamuona Binadamu Mtakatifu wewe huyu jamaa ananyamazisha watoto wanao lia kule hospital[emoji23]
Huenda nilikosea, ila next time nitakucheki mapema tu nikifika.Uliikosea
Namba ww maana mafao yako yakupagawisha ila si utanigawai m4 au utanichinja
Af nddio unasema umezaliwa 2004View attachment 2591362
kijana wa hovyo..... 😂 mshamba_hachekwi
Ms eyes njoo kodolea macho huku... 😂