Ndo maana Selfika watu wanapoteaa, kuna mamlukii wamevamia hapa, yaan ile vibee imepoteaaa kabisaaa.,a
Mkuu jiheshimu , uongo upi huo uniache kabisa ..
tuko huru kupost picha yoyote iwe filtered or not .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaa km mazuriiii.Huweki picha kwa sababu ya mtu?
Ingekuwa tunaogopa watu basi huu Uzi usingefika hapa leo.
Humu ndani Kuna mengi,
Wengine tangu Uzi unaanza tushatukanwa hadi basi ila picha hatuachi kuweka[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Potezea
Wewe endelea kuselfika
Tena mm mtu akinikejeli ndio huwa sifuti ng'oo[emoji38]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tisheti kaliiii,[emoji6][emoji10]View attachment 2591405
AnkooooΓ²... yuko wapi malaikaa Antonnia mzigooo umetemaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Irudishe tu mwaya
Bando lako, hata ukipondwa, hukatiki mguu Wala kichwa [emoji38]
Ungekuwepo kipindi uzi unaanza nadhani ungeukimbia[emoji23]Yale masekeseke yamepita humu.
Wewe weka tu
Amini Mungu alikuumba Kwa mfano wake na akaona kuwa ni vema.
Filter tumepewa tuzitumie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna purukushani tu za hapa na pale [emoji38]
Sekeseke na mitifuano kama yote.
Unaweza post picha, mtu anakuja tu kukudis kama ulivyofanyiwa.. ili mradi tu ujisikie vibaya.
Yaani hakuna jipya chini ya selfika[emoji23]
Naam kijana umezaliwa upya!AnkooooΓ²... yuko wapi malaikaa Antonnia mzigooo umetemaaaView attachment 2591514
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzo angu ni HB mnooo.Cuzo Ake Coca handsome jamani [emoji91]
π π π maandalizi ya kuingia kambini.. lazima uwe msafi.. pia nilikuwa nasubiri hadi twin washuke.. hapo sina deniNaam kijana umezaliwa upya!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] urudi kufanya nn?? Baki maghettoni bhanaa, kuna rahaa yakee.Nitahama hadi nikome
jamani watu wanaongea hao ... halafu nikawa mvivu nachelewa kutoka lol .
bora huko aisee natamani hadi kurudi nyumbani lol [emoji38][emoji38]
Dar ishakubadilisha now mwendo wa vibody na tyt, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niia zetu[emoji3064]View attachment 2591500
haha mtaani umezimalizaπ π π maandalizi ya kuingia kambini.. lazima uwe msafi.. pia nilikuwa nasubiri hadi twin washuke.. hapo sina deni
Ankoliiii hebu toa hiyo emoji, nikuone vizuri, uko swafiiiiiii, afu hivi leo jion karibu na mti wa mdegree hukuwepo??AnkooooΓ²... yuko wapi malaikaa Antonnia mzigooo umetemaaaView attachment 2591514
Afu hii suruali bwangaDar ishakubadilisha now mwendo wa vibody na tyt, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π π π π ni kukiwashaaa tu.. nipo safii... natembeee shwaa shwaaaa... kifua mbeleeehaha mtaani umezimaliza
Sasa unataka ukahamie kwa MT.
Cuzo handsome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzo angu ni HB mnooo.
Hutaki kuwa na cuzoo mzae watoto wa kwendaa.
π π π π nipo ziwani mie, najiandaa kuingia kambiniAnkoliiii hebu toa hiyo emoji, nikuone vizuri, uko swafiiiiiii, afu hivi leo jion karibu na mti wa mdegree hukuwepo??
Mzigo umetemaa fanya kunipasiaa na mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkajua ni tyt.Afu hii suruali bwanga
Ya kitambaa.
Inapwaya hatari
Swaumu Kali,nimekonda.
Ndiwooooooh!!!Cuzo handsome
Jf nzima hakuna anamfikia cuzo Ake[emoji91]