Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeona eeehhh ! Mtrotro coca rangeee ya mtyumeee[emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nimechekaa.

Kuna mtu siku hiyo anaongea kirangi, mie simjibu, sijui alidhan mie ni wa kondoa, mara naongea kingoni anabaki kushtukaa

Eti wee ni wa songea, mie namjibu ndyoo, eti anasema hii rangi ya mtume ni za kutoka kondoa, nlichekaa had machoziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko vizureeee shougaaangu ulijua kumbamba!
 
Back
Top Bottom