Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watruuuuuu weuweeeweeeehhhh [emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]! That's ma shostitooooo A .k.a Muzunguuuu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]! Umewakajeee shougaaangu looking biurifooooo[emoji8][emoji7][emoji7]
Mzungu km mzunguuu,
Mkorogo sio shida zanguu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mke mwenza kwenye pua ya kisomali umenipiga na kitu kizito 😂😂
Sema mke mwenza uko vizuri mrembo hatari

Nimelipa nyongeza ya tbt kabla sijazeeka nikakuachia na mume😂😂😂ushukuru uzee bila hivo wew😂😂😂
Lips za mapenzi
Kidevu cha mahaba hiki
Wanawake wa hivi wakiwa wanaumwa wakija hospitali wanadeka sana hiiih
 
Back
Top Bottom