Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ya kurariaaa Hio hapo ndugu mjumbeee!!

Muwe na mkesha mwema wa Easter wapendwa!!!
Acha Nikapumzishe fuvu langu kwareo inatosha!!
( Kwa sauti ya kanda maalum)[emoji2960]
spidernyoka
Nimepitwaaaaa rudiaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaliyyah

Mke mwenza, Ramadhan Kareem!!!
Raha ya abaya au juba liendane na rangii.

Hebu ni silimu tuongozane msikitini.
[emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 2581687
Ndriiiooo ndrrriiioooo!!! trukomesheeee tukomesheeee shosti akeeee!!
Unajua kupangilia rangii inayoendana na ngozi yakooo!!
Nouuggaaaa sana shougaaangu!!šŸ˜šŸ˜šŸ˜
 
Back
Top Bottom