Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukishindwa wa pm watakuelekeza
Niwapm mods au? Nimejaribu kuwa PM muda hawajajibu. Nilikuwa najiunga JF kwa mara ya kwanza so nikataka kutumia jina langu la loveness ikasema lipo so ikabidi niongeze hiyo nyingine ila naona hii ID haijakaa kimaadili na wengi wananichukulia kama malaya najiuza sasa nataka nibadilishe hiyo ID. Toka mwaka jana nimejaribu nimeshindwa my.
 
Back
Top Bottom