spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,529
Haswaaa hudaiwi
Yaani hataNyiee kizazi cha nyoka mnalijua ilo!
Mnamsemo wenu sikuhizi mnakulaga.
Asante mjumbe😂Haswaaa hudaiwi
Mambo mazuri kabisa
Mjumbe ,mahari kwani zimepanda au bado ile ile 😂 , very beautiful!! Hongera mkuu
Naenjoy kuwa single nakunywa maji hata kwenye jagi na hakuna wakuniuliza😂😂😂😂Mjumbe ,mahari kwani zimepanda au bado ile ile 😂 , very beautiful!! Hongera mkuu
Lol namba 4 kitrambo sana mjumbe ngoja niiangalie kama ipoo!!
Niwekee ya karibu basiiLol namba 4 kitrambo sana mjumbe ngoja niiangalie kama ipoo!!
Kama hivyo ngoja nisubiri mama kasema ataleta mchele kutoka nje bei itashuka ya nafaka 🤔 😂 😂Naenjoy kuwa single nakunywa maji hata kwenye jagi na hakuna wakuniuliza😂😂😂😂
Mahari zinategemeana na Bei ya mchele inavopanda nayo inapanda
AsanteNamba 4 hio hapo ndugu leo nakufungishia uondoke nayo kabisa ndugu mjumbe spidernyoka
Naked kweri kweriiiii
Uwiii sio poa hongera ndugu mjumbe 😍😍Namba 4 hio hapo ndugu leo nakufungishia uondoke nayo kabisa ndugu mjumbe spidernyoka
Naked kweri kweriiiii
Mtoto trakooooooNamba 4 hio hapo ndugu leo nakufungishia uondoke nayo kabisa ndugu mjumbe spidernyoka
Naked kweri kweriiiii




haha! Ngoja to re-treat kwanza!Binamu yangu
Mzungu wa roho
Hanaga roho ya kisokorokwinyo
Mwenyewe pesa anajua kuisaka
Mwisho lakini
Si Kwa umuhimu
Kiufupi itakuwa
Kikao cha familia
Lips dendaaaa








Ayaaah 🤔 nimekumbuka sabuni imetumbukia chooni wakati wa kuoga, duh, Leo sio rizki wacha nilale tu😀🥲😀Namba 4 hio hapo ndugu leo nakufungishia uondoke nayo kabisa ndugu mjumbe spidernyoka
Naked kweri kweriiiii