Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haki wivu utamuua shouzyy wako wallah[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niache kuwa na wivuu tenaa? Usawaa huu kuachwa na boss kubwa km wee, ntapata wapi mwingineee mie??

Nianze kuhangaika na wanyoa viduku? Boxer zao shida, mie tyt ntapata kweli??

Famasikhara nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom