Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,776
- 182,911
[emoji23]Salute to you CDF
[emoji23]Salute to you CDF
Ndio.Nawe ni kijeba??[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
HahahahaUnaonekana mlafi sana.
Anajua umeshaoa?
Kwahiyo ukaniona mtoto mwenzio eti?Hahah...
Vitanda vibovu vilikopa tu jina toka kwa vitanda halisi vya teremka tukaze, vile vitanda vinasukwa na kamba za ukili almaarufu sana mikoa ya pwani mwa TZ haswa Tanga na Pwani...
Juu yake watandika manyasi/makuti then waweka mswala/busati la kienyeji/mkeka/jamvi, ndio vyawa kama godoro...
Aone dogo Atoto
Ngozi laini ya mwanaume wa Dar!Heka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
Huku kutesana sasa mambo ya kumeza mate!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]nitakula wapi mimi
Habari za hapaView attachment 1269254
Heka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
Unequal distribution of resources
Pole sana mkuuHeka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
Mitaa gani hiyo mkuu uliyokabwa.Heka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
Kama ni vibaka unadhani watakuwa walitumia visu hivyo kujeruhi watu wangapi?Naelekea huko mkuu shukrani,nahofia tetenus, vip visu navyo vinaweza kuleta V.V.U?
Hii na mbege unachagua nini?
NikeFreeTrainer 5.0
#TheShoeTrendChallenge keeps rolling
View attachment 1269052
Sakayo where you at [emoji73] mzuri mzuri
Karma usije sema hukuwepo [emoji2960]
adorabella wapi tapata dafu kama lile la siku ileee
Kwahiyo ukaniona mkubwa mwenzio eti?
Dafu utalipata Morogoro , anyway upo vizuri kwny shoe challenge .
Moro hiyo kama unaenda SUA,nilikuwa na mishe za mahafali,kuna mwana nilikuwa namfuata chuoni,sijui kwaninni nilikatosha manzese ya morogoro.hawakufanikiwa kunipora,walikimbia wenyeweMitaa gani hiyo mkuu uliyokabwa.
Pole sana mkuu