Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Khaaaaah!!Yup yup
Khaaaaah!!Yup yup
Duh pole sana mkuu.Moro hiyo kama unaenda SUA,nilikuwa na mishe za mahafali,kuna mwana nilikuwa namfuata chuoni,sijui kwaninni nilikatosha manzese ya morogoro.hawakufanikiwa kunipora,walikimbia wenyewe
Heka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
PoaMambo
Abee handsomeKigori...
And IMe n myself View attachment 1269367
Mipango kazi, too bad hatuna weekend [emoji848]View attachment 1269394
[emoji8][emoji8]Karibun kwenye pilauuuuiView attachment 1269397
Pole sana ,
Asante jamani kipenzi!!Oho pole kipenzi
Lala ukue
Hapo huna namna,hata mm hakunaga cha weekend mamitoAsante jamani kipenzi!!
Boss kasema [emoji2296]
Nimeona bible kwambaaaali hapo pembeni...Mipango kazi, too bad hatuna weekend [emoji848]View attachment 1269394
We mwenyewe pilau tosha wallah....Karibun kwenye pilauuuuiView attachment 1269397
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ya kisomi