Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,867
- 15,825
Mguuni,nilimuangusha kwa judo,akawa na kisu kumbeakanichimba nacho hapo,nikamuachia akakimbia,ndie aliyebaki wenzake walitangulia kukimbia baada ya kuona mimi sio mtu poa.
Mkuu hilo bega,mkono au sehemu gani. Pole sana.