Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hapo kwenye teremka tulonge umenikumbusha namna vitanda vibovu vinavyoitwa teremka tukaze
Hahah...

Vitanda vibovu vilikopa tu jina toka kwa vitanda halisi vya teremka tukaze, vile vitanda vinasukwa na kamba za ukili almaarufu sana mikoa ya pwani mwa TZ haswa Tanga na Pwani...

Juu yake watandika manyasi/makuti then waweka mswala/busati la kienyeji/mkeka/jamvi, ndio vyawa kama godoro...

Aone dogo Atoto
 
Back
Top Bottom