Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
[emoji41]
Nakuzoom tuu jamaniMimi sijajimwambafai mbona unanionea
Nakuzoom tuu jamani
[emoji849]Acha we we
Unaonekana mlafi sana.
[emoji849]
Haahaaa...acha ufisiJamani aah[emoji8]
Habari za hapaView attachment 1269254
Funua macho
Hahaha mkuu dada huyo kakataa
Mimi ni joka lisilo na sumu mkuu.Haahaaa...acha ufisi
Duh mkuu hii ni hatari. Pole!!Heka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
Weee kumbe kaedit!!! Sijaona.[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]halafu na yule mtoa mada alivyokuwa chizi eti naye akaedit kweli akatuongeza pale kwa list yake
Heka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
thibitisha bbyNdiyo Ndiyo
dont mention it bbycandyThank you darling!!!
Naelekea huko mkuu shukrani,nahofia tetenus, vip visu navyo vinaweza kuleta V.V.U?Nenda ukafanyiwe dressing...unaweza pata infection
Baada ya muda pia check afya yako(najua umeelewa), you never know...
Yeah[emoji41][emoji41]oh really??
Duh mkuu hii ni hatari. Pole!!