Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20191112_144923.jpeg
porini
 
Asante sana kaka yangu yaani leo umeongea bonge moja la fact maana nimegundua JF watu wengi wanapima hoja za watu kulingana na umri wao,, usishangae ndiyo maana wengine tunasingizia tuna miaka 40 ili tu na sisi tusikilizwe hoja zetu maana daah..
hahaha tatizo siku hizi watu wenye miaka mingi duniani ndio wanaongoza kwa kuongea shudu.( nafikiri ukubwa wa mtu uwe unapimwa kwa hekima na busara zake.
 
Back
Top Bottom