Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Wigelekelo leo tubless bana. Hata mkono 😂😂😂😂 unamisika sana humu.
Sema suuMtrotro mnaatrrrooo kitu stekii kama zoutreeee hapana chezea Bantu rede weweeh!!


Kama ni hivyoIla kusema kweli sipendagi kutumika kabisa. Yaani nauheshimu mwili wangu kuliko, bora niambiwe naringa ila acha nikae hata miaka 2 bila sex ila nikija kuwa na mtu, ni wa uhakika. Wasichana wadogo wanavyotumika, wanazeeka kabla ya umri nawaonea huruma sana. Life is Good...
Haha umkwepa mishale mingi ya Mzee wa kupambania na mzabzab.

Sema haki ya naniHizo hekaheka sijawahi maishani mwangu, navisikia tu na kuona kwenye mitandao. Sijawahi waza kutumia. Naamini Mungu alivyoumba alijua ibaki hivyo. Na ni motroooooo![]()
Unasemaaa!!!Kama ni hivyo
Lazima iwe mnato
Naogopa kutia neno naogopa kufuturu kabla ya muda ila hapo mwanzo wa hiyo hijabu na mwisho wa hiyo gauni hivyo vilivyosimama dede sasa😍😍Nipo hapa View attachment 2572359
Jamani kufuturu saa mbili hii😂😂😂Naogopa kutia neno naogopa kufuturu kabla ya muda ila hapo mwanzo wa hiyo hijabu na mwisho wa hiyo gauni hivyo vilivyosimama dede sasa😍😍
Astaghfirullah
Kufturu ftari kubwaJamani kufuturu saa mbili hii😂😂😂
Nalewa
shikamo kaka , Za siku .Ebu
Niamkie
hahaha nikuitaje au . Nikionaga watu warefu nakukumbukaga