Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hapa baadae usiku kuna jisupuuu la pwezaaa .. si unaja linaongeza damu na chakula nzuri kwa brain..

Aunt yangu mzima lakini ? Weekend yako imeanzaje
Una balaa Ankol unajua ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป vizuri sana...
Mimi mzima Ankol weekend yangu imeanza poa. Huku tukiwasubiria Raja, watufungie midomo makolo FC...
 
Una balaa Ankol unajua ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป vizuri sana...
Mimi mzima Ankol weekend yangu imeanza poa. Huku tukiwasubiria Raja, watufungie midomo makolo FC...
Lakini hili sijui lina ukweli maana kila siku nazidi kuaminishwa tu.... Pisi kali nyingi zipo huko utopoloni na wachache wakali zaidi wapo Msimbazi
 
Una balaa Ankol unajua ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป vizuri sana...
Mimi mzima Ankol weekend yangu imeanza poa. Huku tukiwasubiria Raja, watufungie midomo makolo FC...
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kumbe kuna mpira duh.. Sema Raja anamchakaza vizuri
 
Ankol jamani Mwanza kumekupenda sana kaa hukohuko. Hao samaki si mchezo mpaka umenenepa na kupendeza zaidi.
Kanda ya ziwa mambo ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Ankol umekuwa mpyaaa
๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š hakika aunt mwanza mambo ni moto.. mambo ya mdogo wangu Lovelovie haniachi kaka yake nilale na njaaa kila siku masato
 
Back
Top Bottom