Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,480
Karibu Tena selfikaWooooow
Karibu Tena selfikaWooooow
Mimi na wewe tena . Nitarudi tu mrembo😘Karibu Tena selfika
wewe ni introvert , ndo maana .Duh
Mm sijui kwanini nashindwa
yeah dear , si unajua uswazi , mtu anataka apate kukujua .Duh
Yaani anauliza Bar?
Mm labda mtu aje kuniuliza makanisa
habari jiraniHujambo jirani
Badae badae dear nitakubless Jana ulilala mapema sanaAriya Aaliyyah reo asubuhi Yangu haijakaa poa kabisa mdogo wangu nikikuona ntakua thawaa njoo unibresi pullliiizzzzzzzzzzzzzz! Kwa sauti ya Bantu redi 😌 Bantu Lady
Yeah Nililala mapema! Sawa mamy naisubiriaa!!Badae badae dear nitakubless Jana ulilala mapema sana
Kwani hapo una mingapi mdogo wangu siku hazigandi ujuee😂😂!! Kula ujana umalizane nao kabisa usije kusumbua watu uzeeni ukaitwa mzee kijana!😊😀😀Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi😂😂😂
Mm nimeanza kuwa mzee kabla ya umri kufika 😀😀Kwani hapo una mingapi mdogo wangu siku hazigandi ujuee😂😂!! Kula ujana umalizane nao kabisa usije kusumbua watu uzeeni ukaitwa mzee kijana!😊
Thubutuuuu Mtoto mbichi kabisa wewe mtoto kigoriiiii auweeh!😍!!Mm nimeanza kuwa mzee kabla ya umri kufika 😀😀
Uko poa mamii, nasubiria yako 😉😉😉🤣🤣🤣🤣🤣Bantu Lady nimeona kivuli chako dear naombapo unibless jamanee kitrambo sana jakuona mamalao!