Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Mvuvi kaziniThanks Mjukuu, ingawa hii picha ya kitambo kidogo. Imagine nilipiga mwaka 1974 when I was Young Man![]()
Mvuvi kaziniThanks Mjukuu, ingawa hii picha ya kitambo kidogo. Imagine nilipiga mwaka 1974 when I was Young Man![]()
Nzuri Wigelekelo nimekumiss jamani... hivi lini utatubless Wige?Unasifiwa sifiwa tu
Unaelekezwa kimasihara
Mimi pia nina moyo wa nyama
Habari ya jioni rafiki
Babu yao hapa umri umeenda ujue, unataka nifie kifuani 🤪🏃🏃Mvuvi kazini
😅😅😅Hiyo miaka
Hapakuwa na picha za rangi
Unaleta u zumarii eeh
Babu la mchongo
NaBabu yao hapa umri umeenda ujue, unataka nifie kifuani![]()
Hapo Sasa
Huyo Zumaridi amezidi, yeye ndiyo wa kuona maghorofa ya mbinguni![]()
Yule ametupiga kamba, kuna haja atafutiwe Mzee mmoja amfanye Mke tu ili kumfanya afocus na maisha ya familia kuliko kuishi kwenye Dunia ya kufikirika 🤪Hapo Sasa
Halafu eti tureefuuu
Nahisi siku nikifanya hivyo mtakuja kupata tangazo Babu amefia Lodge, si ulisoma kile kisa cha Wadada kutumia Ugoro kule Ikulu ndogo.Na
Baridi hii
Unawakunja kama wote
Wapi hiyo Ankol? Weekend nimeamka na mvua. Vipi huko, aisee ribs huwa ni habari nyingine.View attachment 2564917
Bantu Lady mambo yako haya.. namsubiri Antonnia na Lovelovie wanipeleke na mie nikale
Tamu sana, hapa ni The cask .. ribs zao huwa nazielewa sanaaaWapi hiyo Ankol? Weekend nimeamka na mvua. Vipi huko, aisee ribs huwa ni habari nyingine.
Ooh nayashika maeneo, nikija Mwanza kote huko nitafika. Kuna The cask, Tunza ns Malaika...Tamu sana, hapa ni The cask .. ribs zao huwa nazielewa sanaaa
Enjoy mjombaaa!View attachment 2564917
Bantu Lady mambo yako haya.. namsubiri Antonnia na Lovelovie wanipeleke na mie nikale
Goat kama goat🐐🐐🐐🐐😁😁😁😁!Antonnia ni Greatest of all time( G.O.A.T.) huyu ana ulimwengu wake au nasema urongu Bantu Lady
Ukweli lazima usemwe mamii, ukiona kitu kizuri kisifie kwa kweli. Mtu usiwe na roho ya kichawi ukakichukia. Kisifie na Mungu atakubariki... so ur blessed mamaaBantu Lady nakugawaaa walaiiii umenigeuzia kibao kama tuvomfanyia Kapachino juzi😁😁!