Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Toto zuri Sana Hilo!Ukweli lazima usemwe mamii, ukiona kitu kizuri kisifie kwa kweli. Mtu usiwe na roho ya kichawi ukakichukia. Kisifie na Mungu atakubariki... so ur blessed mamaa
Toto zuri Sana Hilo!Ukweli lazima usemwe mamii, ukiona kitu kizuri kisifie kwa kweli. Mtu usiwe na roho ya kichawi ukakichukia. Kisifie na Mungu atakubariki... so ur blessed mamaa
Eendiwoooooooo Chino Bantu Lady ninouuuuumaaaa 💃💃💃🤸🤸🤸🤸!!Bantu Lady Ni mbantu haswa kaka! Shingo za masela huko kitaa zitakuwa zinapata tabu sana
Mmenigeuzia kibao nyieee😁😁😁Toto zuri Sana Hilo!
Hakiii Nawagawaaa bureeeee 😁😁😁😁!!Ukweli lazima usemwe mamii, ukiona kitu kizuri kisifie kwa kweli. Mtu usiwe na roho ya kichawi ukakichukia. Kisifie na Mungu atakubariki... so ur blessed mamaa
Bantu Lady tumeweke kando kwanza! Wewe litoto lizuri Sana mno ujueEendiwoooooooo Chino Bantu Lady ninouuuuumaaaa 💃💃💃🤸🤸🤸🤸!!
Ni motrooooooo Faiyaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
🐐 nipo hapaaa😁😁😁😁🤭!Bantu Lady tumeweke kando kwanza! Wewe litoto lizuri Sana mno ujue
Mtoto huchoshi kuangalika🐐 nipo hapaaa😁😁😁😁🤭!
Sema Chino sema 😍😍😍😍Mtoto huchoshi kuangalika
😂😂😂
Nijazeee nijazeee rafiki wee nijazee tyuuuu ☺️Mtoto huchoshi kuangalika
Sema Chino sema 😍😍😍😍
Afisa Elimu mkoa sijui anakwama wapi kuipromote hii pisi Bantu LadyNijazeee nijazeee rafiki wee nijazee tyuuuu ☺️
Ndrrriiioooo ndrrriiioooo Bantu Lady mtoto mkareeeee Africa Mashariki kusini Musoma na vitongoji vyakee vyoteee💃😍😍😍🥰
Afisa Elimu mkoa sijui anakwama wapi kuipromote hii pisi Bantu Lady
mwendazake na jk wao walikuwa wanagawa wizara kabisa Kama sio kutunukiwa mkoa ama wilaya
Haha nakurudia nikisha fturu mtoto mzuri!
HahahahahaNimekosa mimii Nimekosa sanaNawagawaaa
!!
Utuandaliela kufturia nasie usitutaniee
!!
Kitrambo sana Sumbai Do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Hahahahaha
Hahaha baridi hii itakuwa yupo bize na Kwa ukaribu zaidi na mwenzake
Mmmmh ngoja jioni swaumu ikiisha....Kitrambo sana Sumbai Do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Huyo Bantu L akisema tuuu Mimi ni nani hata nibishe??Bantu Lady nimemiss kumuona sumbai mimii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz nifanyie mchakato nimuone Jioni yangu iende vizuree wapendwa![]()
NAKAZIAHivi mrembo Aaliyyah unatubless muda gani