Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,947
- 177,163
Halina ubishi hilooo limepita bila kupingwa!!Mimi nigawe Kwa Bantu Lady
Halina ubishi hilooo limepita bila kupingwa!!Mimi nigawe Kwa Bantu Lady
Wananikumbusha enzi zangu uhuru secondary school! Nilikuwa mtata Sana!Hahaha..Tena vi form 4 ndio vinajifanya vizoefu vya shule vina fujooo balaa!
Kumbe upaja upo eeh😍😍😍
Aisee kumbe una hair nzuri hivyo😍😍😍😍
bantu yupo Kama msista flan hivi wa socialogy! Alikuwa akipita pale mdegree tunafunika madesa mpk apite ndo tunayafunua Tena.Mimi nigawe Kwa Bantu Lady
Naaam naaam Kaka. Marshaalahbantu yupo Kama msista flan hivi wa socialogy! Alikuwa akipita pale mdegree tunafunika madesa mpk apite ndo tunayafunua Tena.
Limejaliwa Sana hili toto
Mbona kama .... jirani na Kapachino 😅😅😅😅😅😅Hello Bonyokwa cityView attachment 2564058
Picha ya kitambo lakini Mkuu Mkuu, imagine was taken in 1974 🙈🏃🏃Safiiii mkuu
Hahahah!Mbona kama .... jirani na Kapachino 😅😅😅😅😅😅
Mzee cafe twoo kuna Ile soup ilikuwa safi saana Kwa mdingi mangi yuleee.Yule mwamba sijui alitoboaje upepo alikuwa Hana kabisa.
Haha nilikuwa cafe 2! Mzee.
Mwaka wa mwisho menu yang haikuwa ya kitoto
Haha nilisahau mikate ya kariakoo!
Thanks Mjukuu, ingawa hii picha ya kitambo kidogo. Imagine nilipiga mwaka 1974 when I was Young Man 🤪🙈🏃🏃🏃Hellow granpaahhh!!
Kam kauwaaa babu mwenye misuli yaikeeeeeehh✌️✌️✌️
Umependeza babuuu hapo Kateee inaonesha yaliyomo yamoooo😎😎!!✌️
Uwe na weekend njema babuu!
Bantu Lady Ni mbantu haswa kaka! Shingo za masela huko kitaa zitakuwa zinapata tabu sanaNaaam naaam Kaka. Marshaalah
Mzee una kumbu kumbu si kidogo!Mzee cafe twoo kuna Ile soup ilikuwa safi saana Kwa mdingi mangi yuleee.
Supu chapati mbili nyembambaaaa
Hakika.Bantu Lady Ni mbantu haswa kaka! Shingo za masela huko kitaa zitakuwa zinapata tabu sana
Ziwe zangu niringe? Za dukani mwayaAisee kumbe una hair nzuri hivyo![]()





Naaaaam...Antonnia ni Greatest of all time( G.O.A.T.) huyu ana ulimwengu wake au nasema urongu Bantu Lady
Hilo limepita Antonnia ni moto wa kuotea mbali, mtoto mlito damu ya Kagame. Toto zuri sana kuanzia unywele mpaka unyayo 😘😘😘😘Antonnia ni Greatest of all time( G.O.A.T.) huyu ana ulimwengu wake au nasema urongu Bantu Lady
Hiyo miakaPicha ya kitambo lakini Mkuu Mkuu, imagine was taken in 1974![]()