Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo maana walimu hawazeeki mapema😀
Antonnia
1679600219471.jpg
 
Kwa kweli walimu hawazeeki kabisa.

Maisha yao ni mikiki Kila Kona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ona kama hiyo karatasi [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna kipindi nilikuwa najibu paper huku kichwani nawaza Mwalimu akisoma nilichoandika sijui ataangua kicheko Cha namna gani.
😂😂Yaani acha tu muda wa kusahihisha unacheka hadi basi
 
Back
Top Bottom